maoni*mbona mimi nimeota naendesha ndege mara mbili, kwa maana ya kwamba mchana nilipitiwa na useizi nikaota naendesha na usiku niliposinzia nikaota tena naendesha ndege.